Bidhaa Yetu

Kitkit Shule

Kitkit Shule ni zana ya kipekee iliyoundwa kuwafunza watoto wote kusoma, kuandika na kuhesabu kwa mapema. Ni mshindi mwenza wa shindano la XPRIZE.

Soma zaidi

Athari Yetu

Matokeo yenye nguvu, Athari inayoonekana

Timu ya Enuma imejidhatiti kukuza elimu bora na yenye usawa ambapo kila anayejifunza ataweza kufanikiwa. Toka izinduliwe, Kitkit Shule inabadili kujifunza na kutoa matokeo yenye nguvu kwa watoto duniani kote, bila kujali uwezo wao wa awali na upatikanaji wa rasilimali.

Soma zaidi

Timu Yetu

Sisi ni kina nani

Enuma ni kiongozi kwenye kutoa ufumbuzi wa elimu ya awali ambao unapatikana kwa watoto wote. Ikiwa imeundwa mwaka 2012 ikiwa na lengo la kuwawezesha watoto wenye mahitaji maalum kujifunza wenyewe, Enuma imefanya kazi kuweka viwango vipya kwenye uzoefu wa mtumiaji na muundo unaopatikana kwa wote wanaojifunza.

Soma zaidi